Qur'ani takatifu imeeleza ukweli ulio wazi kwamba mwenyezi mungu alimwuumba mwanadamu akiwa anafuata maumbile yake, yaliyomwongoza mtu kumtambua mola na muumbaji wake.
Ukweli huu umeelezwa katika qur'ani kama ni ahadi ilivyokuja katika kaul vake vwenvezi mungu (s.w.: "na pale mola wako miezi alipo waleta katika wanadamu kutoka migongoni mwao kizazi chao, na akawashuhudisha juu ya nafsi zao, kawaambia: je, mimi si mola mlezi wenu? Wakasema: kwani! Tumeshuhudia. Msije mkasema siku ya kiyama sisi tulikuwa tumeghafilika na hayol 17/172).
Inafahamika kuwa kila mzaliwa mchanga huzaliwa akiwa anafuata maumbile ya kibinadamu, kwa hiyo mwenvezi mungu amewakumbusha wanadamu kwamba wote wamezaliwa wakiwa wanajiunga na maumbile kwa kuwatakia wanadamu waelekeze kwenye njia ya mwenyezi mungu: "basi uelekeze uso wako sawasawa na wengi hawajui" (30/30).
Mwenyezi mungu amewaumba wanadamu wawe na maumbile ya kumwabudu peke yake wakiwa na imani yakinifu kuwa hakuna molal isipokuwa yeye tu, na kutupa mbali fikra yoyote nayokwenda kinyuma na hayo kutokana na maumbile haya, mambo mengine yaliyopo maishani mwa mwanadamu hayana athari kiasi maumbile yanavyoathiri, kwani maumbile ndiyo chanzo cha hisia na vitendo vyote anavyovifanya mwanadamu, huku mila na desturi, matamanio, matakwa na mapendekezo yanakuja baadaye, tena yanatokana na hali ya kimaumbile ya mwanadamu.
Kwa hakika islamu umetufundisha namna kaa kutabaku kuhusu imani hiyo inaafikiana na maumbile ya kibinadamu, kwa kuangalia vipimo vya maumbile haya.
Qur'ani takatifu iliposimulia kisa cha nabii ibrahim (a.s.) Alipokataa kuabudu masanamu, akawa anatahayuri na
Kusakasaka mungu anavestahiki kuabudiwa, akiomba uongofu kutoka mola wake, ilituelezea kuwa imani ya kweli ni ile inayotokana na maumbile aliyoyaumba mwenyezi mungu.
Kisa hichi kilitajwa kwa urefu katika qur'ani, kuanzia kuhojiana na babake mpaka akaongoka kwenye njia iliyo sawa ya kumwabudu mwenyezi mungu, kama yalivyoelezwa.
"na kadhalika tulimwonvesha ibrahim ufalme wa mbingu na ardhi, na ili awe miongoni mwa wenye yakini" na ulipo muingilia usiku akiona nyota, akasema: huyu ni mola miezi wangu. Ilipo tua akasema: siwapendi wanao tua "alipo uona mwezi achomoza alisema: huyu ndiye mola miezi wangu.
Ulipotua akasema: kama mola miezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea. Na alipo liona jua linachomoza akasema: huyu ndive mola miezi wangu. Huyu mkubwa kuliko wote. Lilipo tua, alisema: enyi watu wangu! Mimi simo katika hayo mnayo fanyia ushirikina" hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina " [6/74-7 livyo tunaona vipi, qur'ani inatufahamisha kupitia kisa cha nabii ibrahim kwamba, imani na itikadi iliyo sahihi ni ile nayoambatana na maumbile ya kibinadamu
Na katika sura ya al-furqaan, makafiri walipomwambia mtume
Awaletee muujiza va kuona malaika au hata kumwona mungu ili
Wahakikishe kuwa mtume ni mkweli, mwenvezi mungu ameeleza hayo akisema: "na walisema wale wasio taraji kukutana nasi: bona sisi hatuteremshiwi malaika au hatumwoni mola wetu
Miezi? Kwa yakini hawa wamejiona bora nafsi zao, wakinaishe ukweli wa ujumbe wa mtume kwa kauli yake mwenyezi mungu (s.w.): ametukuka alive zijaalia nyota mbinguni, na akajaalia humo taa na mwezi unaong'ara, naye ndiye alivefanya usiku na mchana kufuatana kwa nafuu ya anaye taka kukumbuka, au anayetaka kushukuru" [al-furqaan: 61-62 kwa hakika, ava hizo zote zinathibitisha kwa uwazi nafasi ya akili katika dislamu, na muhimu wa kuifanvia kazi kutambua ukweli na kuongoka kwa njia ya mwenyezi mungu, kwa kuangalia idadi ya aya hizo na nyinginezo nyingi zilizomalizika kwa kuwaelekeza walengwa kutafakari na kukumbuka ishara na muujiza za mwenyezi mungu zilizopo mbinguni na ardhini.
Vile vile istilahi nyingi zinazohusiana na kazi ya akili na nafasi yake, zilijaa katika aya kadhaa za our'ani tukufu, pamoja na kuashiria zana za kutafakuri na kutambua zinazo ambatana na akili kama vile; macho, masikio nk kwa minajili ya kuelewa sheria.
Imamu al-ghazaliy, alizungumzia uhusiano ulipo baina ya akili na zana zake kwa upande na kujua sheria na kutambua dini kwa upande mwingine, ambapo alisema: "fahamu kwamba akili haitaongoka isipokuwa ikitambua sheria, na sheria

No comments:
Post a Comment